Franco Zetta JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 1,661 Reaction score 843 May 13, 2016 #61 Mavipunda said: kuna taarifa za kiitelejensi kwamba dogo Mziwanda mwenyewe watu wanatwanga.. Click to expand... Aisee! kwa jinsi alivyo kuwa anadeka kwa lile zanga hiyo taarifa ina weza kuleta maana.
Mavipunda said: kuna taarifa za kiitelejensi kwamba dogo Mziwanda mwenyewe watu wanatwanga.. Click to expand... Aisee! kwa jinsi alivyo kuwa anadeka kwa lile zanga hiyo taarifa ina weza kuleta maana.
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,261 May 13, 2016 #62 Daah nimecheka sana huyu mtu aliyechanganya mafaili humu, I was like, whaaaaaaaaaat!
jikeshupa R I P Joined May 10, 2016 Posts 500 Reaction score 398 May 13, 2016 #63 Huyo ndo Shishi baby aka jike shupa..
M mwayena JF-Expert Member Joined Apr 21, 2016 Posts 3,731 Reaction score 5,393 May 14, 2016 #64 nmemchukia sn nuh kupitia mahusiano na shilole,hapaswi kua HV mtt wa kiume bwana! aarghaaa,ana akili za kitoto tofauti na nlivomtarajia.tatoo VP!? kajipiga pasi?
nmemchukia sn nuh kupitia mahusiano na shilole,hapaswi kua HV mtt wa kiume bwana! aarghaaa,ana akili za kitoto tofauti na nlivomtarajia.tatoo VP!? kajipiga pasi?