hii imetokana baada ya kusomwa rasimu ya sitta na chenge,mambo yote 28 yaliyoachwa kutoka kwenye katiba ya warioba ndiyo yaliyokua yakisemwa na J.K wakat akizindua bunge la katiba,sasa najiuliza inamaana hofu iliokua ikielezwa na mkulu basi wabunge wote wameifuata na kufuta mambo muhimu sisi wananchi tuliyoyatoa mbele ya tume,kwa mwendo huu hawa wabunge wamekosa sifa ya kutuwakilisha sisi wananchi wao, badala wamefuata mawazo ya mtu mmoja/chama