Mtambuzi ndugu yangu natamani sana hali hii ya "invisibility" iwe inanikuta mara nyingi sana hususani ninapokuwa kwenye mazingira haya:
1. Wezi wameingia nyumbani kwangu na mimi niko kwenye "invisible mode" - Nitawapiga mpaka basi!
2. Kuna vurugu mbalimbali na mimi niko eneo la vurugu eg. Uamsho na askari! - Itanisaidia kuwasambazia taarifa JF
3. Jamaa awe anamtokea mamsap, lol! (ingawa sipendi kumchunguza sana bata, unaweza kushindwa kumla!!!)
4. Niko vitani - na wanaonitafuta hawanioni!
5 ....
6 ....
Nafahamu ni kitu gani huwapelekea watu waingie ktk hii hali, hili nitawajuza next week ili kwa sasa nisichakachue uzi wa
Mtambuzi, Lol!:becky: