Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
"Michezo ya mitwana hiyo"
Haiendani na mdebwedo, uongo?!!
mkuu mbavu zangu hoi hapo kwenye udhamini wa tende na haluaDakika chache zilizopita nikisikiliza kipindi cha michezo Radio One, nimesikia kituko cha mwaka. Ndani ya ardhi ya Zanzibar, mchezo wa Kick Boxing ni marufuku.Waziri wa michezo wa Zanzibar amemjibu mjumbe wa Baraza la Wawakilishi aliyetaka kujua ni lini sheria ya kupiga marufuku mchezo wa Kick Boxing itaondolewa na Zanzibar iruhusiwe kushiriki mchezo huo hatimaye kuipa Zanzibar jina katika ramani ya mchezo huo duniani.Waziri amejibu kuwa sheria hiyo haitaondolewa kamwe, ili kumuenzi Hayati Karume aliyepiga marufuku michezo ya ngumi zenye muelekeo huo. Pamoja na hilo, waziri pia amesisitiza kuwa mashindano ya Tusker Challenge Cup hayatafanyika Zanzibar kwa kuwa yana udhamini wa POMBE.Maswali yangu:1. Tunaacha kufanya michezo itakayotoa ajira kwa ajili ya kumuenzi mtu?2. Kuna nchi ambayo TENDE na HALUA ziliwahi kudhamini mashindano mpk Zanzibar ikatae pombe?3. Zanzibar haipokei misaada toka nje? Kama inapokea, hawajui kuwa kuna kodi za mivinyo katika hizo fedha wanazopokea?
mkuu mbavu zangu hoi hapo kwenye udhamini wa tende na halua
kwa mamlaka niliyojipa mimi mwenyewe natoa ruksa kwa wazanzibar kucheza kick boxing...ila sharti moja watekeleze...wacheze huku wakiwa wamevaa kanzu.lol
Mwana Mtoka Pabaya
Kuna tende ya maji vipi itaruhusiwa kudhamini mpambano wa challenge cup?
Dakika chache zilizopita nikisikiliza kipindi cha michezo Radio One, nimesikia kituko cha mwaka. Ndani ya ardhi ya Zanzibar, mchezo wa Kick Boxing ni marufuku.
Waziri wa michezo wa Zanzibar amemjibu mjumbe wa Baraza la Wawakilishi aliyetaka kujua ni lini sheria ya kupiga marufuku mchezo wa Kick Boxing itaondolewa na Zanzibar iruhusiwe kushiriki mchezo huo hatimaye kuipa Zanzibar jina katika ramani ya mchezo huo duniani.
Waziri amejibu kuwa sheria hiyo haitaondolewa kamwe, ili kumuenzi Hayati Karume aliyepiga marufuku michezo ya ngumi zenye muelekeo huo. Pamoja na hilo, waziri pia amesisitiza kuwa mashindano ya Tusker Challenge Cup hayatafanyika Zanzibar kwa kuwa yana udhamini wa POMBE.
Maswali yangu:
1. Tunaacha kufanya michezo itakayotoa ajira kwa ajili ya kumuenzi mtu?
2. Kuna nchi ambayo TENDE na HALUA ziliwahi kudhamini mashindano mpk Zanzibar ikatae pombe?
3. Zanzibar haipokei misaada toka nje? Kama inapokea, hawajui kuwa kuna kodi za mivinyo katika hizo fedha wanazopokea?
mbona timu yao inashiriki mashindano hayo...au inakuwa harami yakifanyika Zanzibar,ila ikiwa nje ya Zanzibar inakuwa poa......mbombo ngafu naloli!
Inashiriki wapi mkuu? Usije ukawa unachanganya na Boxing, hapa nazungumzia KICK BOXING, ile mix ya mateke ngumi na vichwa, hata meno yanaruhusiwa
ok,kuna sehemu nafikiri umeongelea kwamba pombe ni haram huo upande mwingine na katu mashindano ya Tusker haywezi katu kufanyika huko,nami nimaongezea tu hapo kwamba mbona kama pombe ni haramu Zanzibar heroes wamekuwa wnashiriki mashindano ya Tusker?...ni hilo tu nafikiri nimeeleweka