Kumbe Kenya Makanisa yanalipa Kodi!

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,681
Reaction score
28,797
Wakala wa kodi nchini Kenya (KRA) imetangaza orodha ya makanisa yanayopata mapato makubwa (sadaka, I guess). kisha kulipa kodi. Orodha hiyo inajumuisha makanisa ya Wasabato, waothodoksi, na wapentekoste.

Kenya's Richest Churches Revealed


====
Hali ikoje Tanzania?
 
Tanzania makanisa nako hulipa kodi isipokuwa kwa sadaka, zaka na vyanzo vingine vinavyo fanana na sadaka na zaka
Miradi ya kibiashara ni mfano wa eneo ambalo makanisa hulipia kodi
 
Tanzania TRA inatoa misamaha ya kodi ya vitu wanavyoagiza nje ya nchi
Lakini si kwa kila kitu, we! ingekuwa ni free kwa kila kitu kinacho agizwa nje na makanisa mbona TRA wangekoma wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…