Kumbe jamaa mkwara wa bure!

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Jamaa alichezea kichapo kutoa kwa Mada Maugo
 

Attachments

  • maugo.jpg
    53 KB · Views: 706
anakula chips mayai na urojo unategemea ashinde????
 
Jamaa mtu mzima anakaribia fainali ya maisha kama hajatokamo basi tena
 
Umenikumbusha Mshikaji wa Kisukuma akisema "HayamoMO" yaani "Maji hayamo humo" na nilipomuuliza hicho ni Kiswahili gani akanijibu kuwa ni kama Kisukuma wanasema "Gatimo-MO" au watoto wanasema "......dada Mazila, bus la Sengerema likaja, TUKATUMBUKIAMO........"
Jamaa mtu mzima anakaribia fainali ya maisha kama hajatokamo basi tena
 
Teh teh teh,umenikumbusha kiswahili ya kwetu kata ya Gamboshi,wilaya ya bariadi mkoa wa Simiyu!
 
Kwanza alitakiwa awe jambazi na si bondia hizi njaa hizi zitatuua hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…