Kumbe Iran's Kowsar Jet ni "Carbon Copy" ya F-5F

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
24,856
Reaction score
56,843
Hawa jamaa kwa ngebe hawawezekaniki. Kumbe ndege yao wanayoisifia sana ni just "carbon-copy" ya fasheni ya zamani sana F-5F.

Iran says its new Kowsar fighter jet has flown. President Hassan Rouhani was on scene to see the jet – which is a carbon copy of the American F-5F – undergoing flight trials.

Source: https://news.yahoo.com/sad-irans-kowsar-jet-just-140600337.html
 
Kila siku wabongo wanarudi toka Uarabuni wakiwa wameraruriwa marinda 7bu ya kwenda kufanya kazi za ndani(house girls) kumbe nyuma ya pazia Waarabu ni washenzi hata shetani anawashangaa na kuwaogopa kwa ushetani wao.

Obviously 99.9% in Saud Arabia land is contained of Islamic people, just proceed to be satanic agent.
Angalau wairani wa JF ni wadini ila wapinzani wao wako kotekote kutetea ushoga na kushobokea us
 
Kila siku wabongo wanarudi toka Uarabuni wakiwa wameraruriwa marinda 7bu ya kwenda kufanya kazi za ndani(house girls) kumbe nyuma ya pazia Waarabu ni washenzi hata shetani anawashangaa na kuwaogopa kwa ushetani wao.

Obviously 99.9% in Saud Arabia land is contained of Islamic people, just proceed to be satanic agent.
Nyinyi mnafungisha mpaka ndoa za mashoga kanisani, baadhi ya mapadri wanawalawiti watoto na akina mama, kila siku kesi za kulawiti watoto, pia Tz tu a mpaka CD za askofu gwaji za X, na vipi kuhusu nabii tito naona anafuata maamrisho ya msalaba
 
Jilipue basi ukafanye ngono na Bikra feki 72 kuzimu Mzee Baba[emoji28]
 
Mkuu tushawazoea Hawa kuropoka bila kujua ukweli wa mambo
Kama ipi?!

Russia ndo bingwa wa kukopi Ndege za USA
Tukianza na B-1 lancer,Russia akakopi akatoa Tu-160
F-22 wakaja wakatoa Su-57

Kuna drone yao waliionyesha mwanzoni mwaka huu inafanana kila kitu na B-2 Spirit ya USA inaitwa Okhotnik
 
Vipi umeshakunywa kikombe cha babu wa loliondo??
Hahaaa...mi huwa sikurupuki kuvamia vamia sehemu nisizozijua, japo pia sina udini hata chembe yoyote ile 7bu nimeshawezeshwa sana na ninyi ndugu zangu na hata sasa hivi wengi wenu ni rafiki zangu.

Ninapokumbana na ubaguzi wa kikabila, kidini, kijinsia na kitaifa au rangi ndipo huwa sirudi nyuma kukwepesha ukweli.

Dini yetu ina kasoro kwa baadhi ya madhehebu kama ulilolitaja hapo lakini siyo wote kama ulivyojumuisha, halikadhalika nanyi pia lakini siyo kwa madhehebu yenu yote.

Ni madhaifu tu ya Mtu binafsi ndiyo hupelekea kuonekana kwa dini flani kuonekana si nzuri japo yapo maovu yaliyojificha ndani ya kapeti.

Yote ktk yote nina furaha sana na amani ninapokuwa ktk hali yoyote ile ya kujaribiwa na changamoto za maisha au hayo mapepo kwa kutaja tu jina la Yesu/YESU na kushinda hayo majaribu.

PEACE & LOVE/TOGETHERNESS ONE [emoji120]
 
Kama kweli ww sio Mdini kwa nn uliongea dini ya upande wa Pili wakati mada ni kuhusu technology ya US kucopiwa na Iran? Mm pia najivunia dini yangu kuwa ni dini ya Amani na upendo.
Hahaaa...mi huwa sikurupuki kuvamia vamia sehemu nisizozijua, japo pia sina udini hata chembe yoyote ile 7bu nimeshawezeshwa sana na ninyi ndugu zangu na hata sasa hivi wengi wenu ni rafiki zangu.

Ninapokumbana na ubaguzi wa kikabila, kidini, kijinsia na kitaifa au rangi ndipo huwa sirudi nyuma kukwepesha ukweli.

Dini yetu ina kasoro kwa baadhi ya madhehebu kama ulilolitaja hapo lakini siyo wote kama ulivyojumuisha, halikadhalika nanyi pia lakini siyo kwa madhehebu yenu yote.

Ni madhaifu tu ya Mtu binafsi ndiyo hupelekea kuonekana kwa dini flani kuonekana si nzuri japo yapo maovu yaliyojificha ndani ya kapeti.

Yote ktk yote nina furaha sana na amani ninapokuwa ktk hali yoyote ile ya kujaribiwa na changamoto za maisha au hayo mapepo kwa kutaja tu jina la Yesu/YESU na kushinda hayo majaribu.

PEACE & LOVE/TOGETHERNESS ONE [emoji120]
truth.in.knowledge-20190629-0001.jpeg
 
Nilirusha jiwe tu gizani nikastukia Mtu analia yalaaa...[emoji28]

Kama naongopa lete SMS yangu ya kwanza kabisa kuandika humu uone nilipotaja aina ya dini yoyote lkn ulipojistukia kunijibu ndipo nami nikakujibu sawa sawa na upumbavu wako ili usionekane una hekima machoni pa Watu.

METHALI 26:5.

"Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake."

Kama kweli ww sio Mdini kwa nn uliongea dini ya upande wa Pili wakati mada ni kuhusu technology ya US kucopiwa na Iran? Mm pia najivunia dini yangu kuwa ni dini ya Amani na upendo. View attachment 1144529
 
Teh teh teh ww chuki zako zitajionesha tu ata ujifiche kiasi gani, eti jiwe gizani, na UZURI WA HUMU JF KUNA WATU SPECIAL AMBAO UKITAKA KUJIBU UPOLE UTAJIBIWA UPOLE ILA PIA UKITAKA KUJIBIWA UNAVYOTAKA WW BASI UTAJIBIWA,
Nilirusha jiwe tu gizani nikastukia Mtu analia yalaaa...[emoji28]

Kama naongopa lete SMS yangu ya kwanza kabisa kuandika humu uone nilipotaja aina ya dini yoyote lkn ulipojistukia kunijibu ndipo nami nikakujibu sawa sawa na upumbavu wako ili usionekane una hekima machoni pa Watu.

METHALI 26:5.

"Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake."
 
Iran haina "Innovation" yoyote ya kuweza kuongelea wao ni mahiri zaidi ktk kufadhili ugaidi na kama hiyo kwao ndio "Innovation", labda.
 
METHALI 26:5.

"Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake."

Nilirusha jiwe tu gizani nikastukia Mtu analia yalaaa...[emoji28]

Kama naongopa lete SMS yangu ya kwanza kabisa kuandika humu uone nilipotaja aina ya dini yoyote lkn ulipojistukia kunijibu ndipo nami nikakujibu sawa sawa na upumbavu wako ili usionekane una hekima machoni pa Watu.

METHALI 26:5.

"Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake."
HIZO METHALI TULIWAHI KUSOMA SHULE YA MSINGI NAKUMBUKA ZAMANI SANA[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom