Kumbe Iran wanaendesha magari mazuri?

Title unazungumzia magari halafu kwenye thread unazungumzia njia sita!
Kiuhalisia Iran raia wa kawaida wanaendesha magari ya zamani sana
 
Mbona Iran kuko fresh tu
Bata kama kula watu wanakula ila vurugu zote
Zinafanyika underground siyo hadharani

Ova
 
Naona wanabana mafuta gari nyingi hapo nimezikagua cc ndogo sana sisi ambao mafuta yanatoka kwao ndio tupo na LC 200 V 8.. 1vd engine muda wote linaunguruma..
 
Hii picha ilipigwa jana jumamosi.
Kumbe wa Irani wanasukuma ndinga kali licha ya vikwazo vikali vya uchumi? Wamewazid hadi North Korea na Cuba.

Pia barabara zao ni nzuri.

View attachment 3550315

Mad Max

adriz de mbusii
Hapo ni wanaume tuu, mwanamke haruhusiwi kuendesha gari. Ndio sheria ya sabaaana Huwa taaala kama ilivyopokelewa pangoni na swalalee wa salaama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…