Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,087 Reaction score 72,502 Feb 28, 2017 #1 alipost 2016 kumbe anajua mmewe ni daudi
FakeGirl Naomi JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 226 Reaction score 705 Feb 28, 2017 #2 Whaaaaaaaaaaaatttttt!!!! COINCEDENCE!
ZNM JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 1,219 Reaction score 1,281 Feb 28, 2017 #3 Wewe unataka nani aseme ndipo uamini ndiye, mbona kila mmoja anamwanzishia uzi huyu bwana mdogo? Tulieni sasa, mkulu anashughulikia!
Wewe unataka nani aseme ndipo uamini ndiye, mbona kila mmoja anamwanzishia uzi huyu bwana mdogo? Tulieni sasa, mkulu anashughulikia!
ngalakeri JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 1,676 Reaction score 1,405 Feb 28, 2017 #4 Dinazarde said: View attachment 475486 alipost 2016 kumbe anajua mmewe ni daudi Click to expand... Shikamoo JF!
Dinazarde said: View attachment 475486 alipost 2016 kumbe anajua mmewe ni daudi Click to expand... Shikamoo JF!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,751 Reaction score 1,251,445 Feb 28, 2017 #5 Marahaba insta ngalakeri said: Shikamoo JF! Click to expand...
Mugunga JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 640 Reaction score 911 Feb 28, 2017 #6 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WirelessBrain JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 980 Reaction score 1,352 Feb 28, 2017 #7 Mnashangaa nini kuna jina la shule na jina la nyumbani..
kishaija JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,049 Reaction score 1,205 Feb 28, 2017 #8 Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!! Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!!
Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!! Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!!
afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,779 Feb 28, 2017 #9 Walijua ila hakukuwa na haja kuibua....sa hv anazingua watu kiuonevu ndio maana wanamuibukia
Katambala Member Joined Mar 21, 2011 Posts 41 Reaction score 20 Feb 28, 2017 #10 kishaija said: Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!! Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!! Click to expand... Wacheni maneno, leteni vyeti vya mwana wa mfalme
kishaija said: Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!! Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!! Click to expand... Wacheni maneno, leteni vyeti vya mwana wa mfalme
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,222 Reaction score 18,381 Feb 28, 2017 #11 kishaija said: Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!! Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!! Click to expand... Kuna watumishi wametumia vyeti vyao feki miaka mingi tu iliyopita ila magufuli ndio anawatumbua sasa! So stay low! Not yet too late! Ukiikutana naye mwambie tu wana Dalisilama wanaomba kutambua Elimu yako sahihi mheshimiwa mtukufu Bashitee
kishaija said: Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!! Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!! Click to expand... Kuna watumishi wametumia vyeti vyao feki miaka mingi tu iliyopita ila magufuli ndio anawatumbua sasa! So stay low! Not yet too late! Ukiikutana naye mwambie tu wana Dalisilama wanaomba kutambua Elimu yako sahihi mheshimiwa mtukufu Bashitee