upo sahihi,huwa na imagine wanaofiwa inakuje kama akiondok tu inauma vile je akifa, kuna jamaa juzi amenisimulia alipata mpenzi mzuri na mwenye pesa lakini walidumu kama mwezi tu yule binti akafa kwa kuuwawa,Kwa kweli unaweza changanyikiwa. Na hii inaweza kutesa maisha yako yote. Hata ukipata mwanamke mwingine, a bado akili zako zitakuwa kwake.
Ndio maana wapo wanaume ambao hawachukui muda mrefu nao hufariki pindi wafiwapo na wake zao hasa ambao umri umekwisha kwenda.upo sahihi,huwa na imagine wanaofiwa inakuje kama akiondok tu inauma vile je akifa, kuna jamaa juzi amenisimulia alipata mpenzi mzuri na mwenye pesa lakini walidumu kama mwezi tu yule binti akafa kwa kuuwawa,
jamaa alianza kuishi nae kabisa na wakapanga ndoa
kabisa Mkuu,haya mambo ni mazito, huwa napenda hizi nyimbo nikisikiliza akili inaenda mbali mno,kuna ule wa juma kakere unaitwa BettyNdio maana wapo wanaume ambao hawachukui muda mrefu nao hufariki pindi wafiwapo na wake zao hasa ambao umri umekwisha kwenda.
Si kwa sababu wana roho ngumu, sababu ni utofauti wa Umri. Wanaume huoa wanawake ambao tumewazidi umri, na mfumo wa maisha it's more likely kwa sisi wanaume kufa mapema kuliko wanawake. Na pili sisi wanaume tunakuwa tunahudumiwa na wanawake kwenye mambo ya nyumbani, kumbuka over 65, hata watoto washaondoka home, so mke akifa mwanaume ule upweke humfanya afe mapema.Ila manamke hata ukifa linadunda hata miaka 100 aisee
Hawa waga wana move on faster mkuu age doesn't matter hapo swala ni upendoSi kwa sababu wana roho ngumu, sababu ni utofauti wa Umri. Wanaume huoa wanawake ambao tumewazidi umri, na mfumo wa maisha it's more likely kwa sisi wanaume kufa mapema kuliko wanawake. Na pili sisi wanaume tunakuwa tunahudumiwa na wanawake kwenye mambo ya nyumbani, kumbuka over 65, hata watoto washaondoka home, so mke akifa mwanaume ule upweke humfanya afe mapema.
Kufiwa kuna nafuu maana utapata hata Faraja kua ni kazi ya Mungu haina Makosa. Lakini kumkosa ni maumivu makubwa kwani utatengeneze imagination nyingi zingine negative na kuongeza maumivu zaidi.upo sahihi,huwa na imagine wanaofiwa inakuje kama akiondok tu inauma vile je akifa, kuna jamaa juzi amenisimulia alipata mpenzi mzuri na mwenye pesa lakini walidumu kama mwezi tu yule binti akafa kwa kuuwawa,
jamaa alianza kuishi nae kabisa na wakapanga ndoa
ila ni kweli MkuuKufiwa kuna nafuu maana utapata hata Faraja kua ni kazi ya Mungu haina Makosa. Lakini kumkosa ni maumivu makubwa kwani utatengeneze imagination nyingi zingine negative na kuongeza maumivu zaidi.