Kumbe Dr. Edward Hosea naye ni kambi ya Lowassa

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Wasalaam wanajukwaa!

Hii habari nimeosoma kwenye gazeti la CHANGAMOTO,Sijajua kuwa na lenyewe nalo limo mifukoni mwa baadhi ya wanasisasa au laa kama ilivyo kwa baadhi ya magazeti nchini! Sijazoea sana kilisoma hili gazeti lakini mtu ukiona kitu kinakushangaza mahali flani zalima ufuatilie na kuuliiza.

Hii habari ilikua inajaribu kuelezea litakalokua baraza la Mawaziri la Mh. Lowassa endapo atakua Rais wa nchi,Wametajwa Diana Chilolo, Karamagi,Tibaijuka, John Guninita na Dr. Edward Hosea naye yumo!

Lakini najiuliza huyu Dr. Hosseh si ndiye DG wa PCCB nchini? Au kuna Dr. Hosseah Mwingine?

Mh. Lowassa si ndiye anaandamwa sana na wanachama wenzie wa CCM Kwa kumtuhumu kujipatia Mali isivyo kuwa halali na anahonga kujipatia ushawishi kwa umma?

Hebu wadau tusaidiane ukweli wa hili jambo hasa kwa wale wanaomjua vizuri Dr. Hosseah.Hii combination ikoje? Kama ni kweli Dr. Hosseah anaitumikiaje nafasi yake hali yakuwa wale anaotakiwa kuwachunguza ndio maswahiba zake?
 
Lowassa ndiye mgombea urais kupitia ticket ya CCM 2015 kambi zote zitakua moja. Bora uwe sasa japo wote watapokelewa tu maana kwa sasa hawajui watendalo
 
Kwani wewe inakuhusu nini? Hosea akiamua atagombea ubunge, kisha atakuwa waziri, unachoshangaa wewe nini@? Hujawahi kujiuliza kwa afred tibaigana? Nafasi yake na uhusiano wa ubunge? Karibu kwenye safari ya matumaini, hii ni kama safina ya nuhu.
 
Usishangae hii ndo safari ya matumaini!!! hichi ndo cha kukushangaza!! Hosea ni Mtanzania au uliambiwa kwa nafasi yake haruhusiwi kupiga kura?? tumia akili wewe acha shobo!! Safari ya matumaini ni ya watanzania wote!! Ikulu tushafika tunasubiri ufunguo!! unakuja na hoja mtepete hapa!!! Wahi kwenye safari ya matumaini kabla hujaangamia
 
Usiombe kukutwa na mafuriko....

Mafuriko haswa...hata wale wapiga mbizi hawawezi kuogelea...ni mafuriko ya watu...

Dr. Hosea anajua ukweli halisi...ndio mkuu wa uchunguzi PCCB nchini..ndio maana anajua jinsi EL anvyosingiziwa tuhuma za uongo...!!!

Tazama haya mafuriko..ni hatariiiiiiii....!!!

Yaani inatishaaaaaa...👋👋👏👏👏💃💃💃🙌🙌🚶🚶🏃🏃 Safari ya matumaini...!!!
 
Usishangae hii ndo safari ya matumaini!!! hichi ndo cha kukushangaza!! Hosea ni Mtanzania au uliambiwa kwa nafasi yake haruhusiwi kupiga kura?? tumia akili wewe acha shobo!! Safari ya matumaini ni ya watanzania wote!! Ikulu tushafika tunasubiri ufunguo!! unakuja na hoja mtepete hapa!!! Wahi kwenye safari ya matumaini kabla hujaangamia
Wewe una matatizo sio bure!
 
Kwani wewe inakuhusu nini? Hosea akiamua atagombea ubunge, kisha atakuwa waziri, unachoshangaa wewe nini@? Hujawahi kujiuliza kwa afred tibaigana? Nafasi yake na uhusiano wa ubunge? Karibu kwenye safari ya matumaini, hii ni kama safina ya nuhu.
Tibaigana alianza safari ya siasa baada ya kustaafu kazi ya jeshi!
 
Hawa Wote Wamepanic Yani Watu Mnaona Kabisa Namba Haikakleti Mnapanga Mipango Kamon Men, Hivi Hamuoni Kuwa Upinzani Unakwenda Kuchukua Nchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom