Kumbe Chit-Chat patamu

Eheeeee huyo huyo KOKUTONA anaingia karibu ntatoka nakitu Preta anamapenzi ya kigaratia usijali!!

Km ndivyo KakaKiiza, karibu sana. Orodhesha yote unayotaka nikusaidie.

Nitakusaidia kwa moyo wote. Preta hana lake eti?

Wenye wivu wajinyonge loooooool.
 

Erickb52 mbona hujatoa into kuwa kuna mtoto unalea? Au hutaki hao desh desh zak wajue kuwa pesa inaishia huku ktk matumizi ya b52 JUNIOUR?

Afu KakaKiiza ameshasema Preta hamuwez and he ask assistance form me so they are no longer (usione wivu, we si unalea mtoto tu?)
 
KakaKiiza nakuomba uwasiliane na wamama wa chitchat ingawa siwajui hata mmoja
 
Last edited by a moderator:
Heheheheee KOKUTONA kwanza nambie Erick Jr hajambo?
Nimemuelewa sana KakaKiiza na namwambia ni mwanaume coz amechukua maamuzi mazuri natafakari nimpatie mmama gani sijui lol
 
Last edited by a moderator:
Heheheheee KOKUTONA kwanza nambie Erick Jr hajambo?
Nimemuelewa sana KakaKiiza na namwambia ni mwanaume coz amechukua maamuzi mazuri natafakari nimpatie mmama gani sijui lol

Erick Junior hajambo, amekumiss mlezi wake long hujaja kumuona. Afu lactogen zimebaki kop mbili, pamaps tatu tu, nguo zimeanza kumbana, ananenepa sana so tunahitaji kufanya shopping ya nguo. Pia usisahau kutumbukiza ile milioni moja kwenye account yake mwezi huu, si unajua mwezi uliopita ulisahau? So una deni.

Utafute mama tena, ile list bado hujatosheka? KakaKiia umemsikia kijana wako? Tutampoteza mda si mrefu. Erickb52 jiulize tuko wangapi?
 
Dah mbona mimi nilikuwa siitwi majina ya watoto!!Anyway nilishakubali matokeo!!

jamani tusiweke wivu mbele sana........ni mmoja tu huwa anakaa rohoni.......wengine nafasi yenu ni kwenye maini....figo.....mapafu......kama wewe nimekuweka kwenye chembe ya moyo.......
 
CC ukikosa siku mbili tu unakuta mambo yamebadilika ile mbaya
huku balaa huwa nashawishika kusajiliwa kwa usajili wa kudumu...muda si mrefu naamini nitatua rasmi siasa zimenchosha
 
jamani tusiweke wivu mbele sana........ni mmoja tu huwa anakaa rohoni.......wengine nafasi yenu ni kwenye maini....figo.....mapafu......kama wewe nimekuweka kwenye chembe ya moyo.......
Dah kumbe wengine tunakaa sehemu za maradhi!!lol!!Mapafu???Figo??Mimi kwenye chembe walau ila mhm limonia kwakaribu sana!!lol!!Nakuomba unihamishe lakini siyo huko kwingine ulikokutja!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…