Kumbe CCM inajiua yenyewe baada ya upinzani kukosa mbinu za kuiondoa kwa democrasia

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Kile kinachoendelea hivi sasa kutoka serikali yw ccm ni kama inajipiga risasi na upinzani wakiwa serious basi white house hiyoooooo mapema asubuhi kabla kuku hajanya.
bd79cef81882a2c086441a44e23d4b40.jpg
 
mbele kwa mbele wapuuzzzzzzz kwakweli ccm imejiua yenyewe kwa upumbavu huu unaoendelea .............................
 
tatizo sio kujiuwa tatizo upinzani kupiga sarakasi zenye matokeo kwa katiba hii na kuzishinda mbinu za kijani...
 
Unasubiri embe chini ya mnazi wakati yule jamaa alisema ccm isipotoka mwaka huu basi itachukua miaka hamsini kuyatoa madarakani
 
Back
Top Bottom