kumbe business card ni dili hapa mjini

kumbe business card ni dili hapa mjini

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,297
Habari zenu wana Jf,
katika pitapita zangu weekend hii,nilipata bahati ya kuwatembelea wadada ambao nimeshakutana nao kitambo kidogo katika shughuli tofauti tofauti na huwa tunatembeleana ni kama kujenga urafiki na kujuana zaidi.Kama mnavojua maisha ya chuo kufulia kupo hivyo nilivyokuwa hapo ghetoni kwao maongezi yao yalionyesha kama financially hawako sawa kwa sasa.Kitu kilichonishangaza badae mmoja akakumbuka kuwa kuna njia wanaweza wakapata pesa na mtoko wikend hii.......duu zililetwa busness card nyingi za madanga{mapedeshee} wenye vyeo tofauti hapa jijini mwanza na mikoa mingine...looh nilishangaa zaidi nilipoambiwa wanauza pia busness card moja elfu 5...mmh this is so amaizing kwasababu kwa story zao wengine wameoa nikawa najiuliza ivi wanaume mmnawezaje kutoa business card kwa mtu usie mjua tena with full details......kwa style hii ukimwi utaisha kweli!!!!mbaba wa 50 yrs unampa busness card yako a 21 yrs gal unamaanisha nin ukimwambia akutafute.....mmh kumbe siku izi busness card ni habar ya mjini...kama ni mke apo usitake kujua mmeo kashagawa busness card ngap kwa totoz...wanaume badilikeni kwa wenye tabia izo
 
Sijakuelewa nani anauza b.cards na ana muuzia nani? Na huyo anayeziuza anazitia wapi. Na wanaozinunua wanazitumiaje?

Bila sisi mapedeshee nyie mtaishije? Tukiweka mgomo wa kutohonga siku moja tu, vi sista duu vyote hoi, maana bila sisi hamuwezi kuishi mjini nyie.
 
kuna watu walikuwa wanamsema mtu eti anaringa sana siku hizi ana hadi bussiness card!
kwani kuprint business card ni sh ngapi jamani .. hata mia mbili inafika kweli
 
unadhani mapedeshee tu ndio wanagawa? kwani business card si jero tu mtu umechomoa 10, hizo ukigawa mbona umechomoka... Kuna tetesi Tanzania ina ma CEO milioni kutokana na data kwenye profile za watu Facebook, hao wote wakiwa na business card imeandikwa CEO mbona patawaka
 
Wengine matapeli hiyo ni mbinu mojawapo ya kupata vi sistaduu kiulaini.
 
Sijakuelewa nani anauza b.cards na ana muuzia nani? Na huyo anayeziuza anazitia wapi. Na wanaozinunua wanazitumiaje?

Bila sisi mapedeshee nyie mtaishije? Tukiweka mgomo wa kutohonga siku moja tu, vi sista duu vyote hoi, maana bila sisi hamuwezi kuishi mjini nyie.

hahahah,bila nyinyi eeh??bidada mmoja anakusanya b.card na kuwauzia wengine,afu ndo ivo ukishanunua unaact ka umekosea number basi mabo yanaenda.......
 
unadhani mapedeshee tu ndio wanagawa? kwani business card si jero tu mtu umechomoa 10, hizo ukigawa mbona umechomoka... Kuna tetesi Tanzania ina ma CEO milioni kutokana na data kwenye profile za watu Facebook, hao wote wakiwa na business card imeandikwa CEO mbona patawaka

habari ndo io wadada wa chuo wanadanganyikaje
 
kuna watu walikuwa wanamsema mtu eti anaringa sana siku hizi ana hadi bussiness card!
kwani kuprint business card ni sh ngapi jamani .. hata mia mbili inafika kweli

hahaha,mening busnes card is still an issue to som wadadaz especially wa chuo
 
Siku hizi mjanja labda mwenye business card ya kioo, au electronic kabisa na ma qr code kwa juu
 
Habari zenu wana Jf,
katika pitapita zangu weekend hii,nilipata bahati ya kuwatembelea wadada ambao nimeshakutana nao kitambo kidogo katika shughuli tofauti tofauti na huwa tunatembeleana ni kama kujenga urafiki na kujuana zaidi.Kama mnavojua maisha ya chuo kufulia kupo hivyo nilivyokuwa hapo ghetoni kwao maongezi yao yalionyesha kama financially hawako sawa kwa sasa.Kitu kilichonishangaza badae mmoja akakumbuka kuwa kuna njia wanaweza wakapata pesa na mtoko wikend hii.......duu zililetwa busness card nyingi za madanga{mapedeshee} wenye vyeo tofauti hapa jijini mwanza na mikoa mingine...looh nilishangaa zaidi nilipoambiwa wanauza pia busness card moja elfu 5...mmh this is so amaizing kwasababu kwa story zao wengine wameoa nikawa najiuliza ivi wanaume mmnawezaje kutoa business card kwa mtu usie mjua tena with full details......kwa style hii ukimwi utaisha kweli!!!!mbaba wa 50 yrs unampa busness card yako a 21 yrs gal unamaanisha nin ukimwambia akutafute.....mmh kumbe siku izi busness card ni habar ya mjini...kama ni mke apo usitake kujua mmeo kashagawa busness card ngap kwa totoz...wanaume badilikeni kwa wenye tabia izo

wewe rudi darasani. Hujui maana ya business card , business card ni kwa ajili ya kutangaza biashara unayo fanya sio kutongozea
 
wewe rudi darasani. Hujui
maana ya business card , business card ni kwa ajili ya kutangaza
biashara unayo fanya sio kutongozea

iv unaelewa nilichoandika?rudi darasani ujifunze kusoma kwa nukta...wat i min kuwa wenzio wanazitumia kutongozea..ndo ivo kama hujui
 
nipeni maana ya bissness card kwa kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom