Kumbe Acacia hata licence hawana,sasa mahakama gani ya dunia itasikiliza hawa wahuni?

Hapa nampongeza Mr Presidaaa
Kwa kuwa interested na kazi hii ya kupambana na majizi ya Uchumi wetu,kwa hiyo hata wakishitaki huko nje ya nchi,hii kesi tutawashinda asubuhi mapema, mfano unaendesha gari harafu lijamaa linakugonga kwa nyuma, unamwambia tupige tasimini tulipane yeye anakuambia muende police na huku hana leseni.

Kama wahuni wamepewa migodi ya matrilioni basi aliyewapa ni Mhuni ++
 
Wewe na ACACIA nani muhuni?

ACACIA amewekeza hapa TANZANIA Mabilioni ya Dola, na kuajiri maelfu ya watanzania.

CCM na nyie wapambe wake ndio wahuni.
 
Hakuna muhuni kama yule aliyewaruhusu kuchimba madini bila kufata utaratibu. Mnalo hili
Hakuna muhuni kama yule aliyewaruhusu kuchimba madini bila kufata utaratibu. Mnalo hili
Na ujinga kuogopa kuzuia usiibiwe Mali yako kisa tu kuna maneno yanaitwa utaratibu.Wale wahuni safari hakuna wakucheka nao.
 
Back
Top Bottom