Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
[TD="width: 50%"]
[/TD]
[TD="width: 50%"]
[/TD]
|
|
|
|
|
|
|
|
Ni kweli EDO alionenewa.Everyone is innocent unless proved otherwise before the court of law. Mahakama gani ilithibitisha EDO ana hatia?. Edo alipewa nafasi ya kujitetea kama principle of natural justice inavyotaka? je hiyo 2me ya Mwaky ilimuhoji Edo? cku zote mtuhumiwa c anahojiwa! mpaka hapo huoni kuwa ni sahihi kusema EDO alionewa na labla kulikuwa na ki2 nyuma yake?Huu ndio ukosefu wa busara walio nao viongozi wa juu wa CCM. Mtu mwenye tuhuma kama huyu hapaswi kuwekwa karibu kiasi hiki na serikali iliyopo madarakani. Kwa kufanya hivyo huwa wanajiuliza wanamuweka wapi Mwakyembe aliyeongoza uchunguzi uliomlipua Edo? Kwa sasa inakuwa kama Mwakyembe ndio mtuhumiwa na Edo ni alionewa. In fact mwanzoni Pinda alifanya kila jitihada kuji-distance na Edo, hata kumwambia Edo asahau ndoto zake za kuwa raisi baada ya JK, matokeo yake Pinda nae wakataka kumuondoa U-PM. Tatizo la viongozi wengi wa CCM ni kwamba wanakosa what should be common to all the people - common sense.
Na huo katikati ni msalaba ukiwakilisha makanisa yanayomkumbatia Edo nadhani.
Piga debe kwa bidii upate ujira watoto waende choo.Ni kweli EDO alionenewa.Everyone is innocent unless proved otherwise before the court of law. Mahakama gani ilithibitisha EDO ana hatia?. Edo alipewa nafasi ya kujitetea kama principle of natural justice inavyotaka? je hiyo 2me ya Mwaky ilimuhoji Edo? cku zote mtuhumiwa c anahojiwa! mpaka hapo huoni kuwa ni sahihi kusema EDO alionewa na labla kulikuwa na ki2 nyuma yake?
Ni kweli EDO alionenewa.Everyone is innocent unless proved otherwise before the court of law. Mahakama gani ilithibitisha EDO ana hatia?. Edo alipewa nafasi ya kujitetea kama principle of natural justice inavyotaka? je hiyo 2me ya Mwaky ilimuhoji Edo? cku zote mtuhumiwa c anahojiwa! mpaka hapo huoni kuwa ni sahihi kusema EDO alionewa na labla kulikuwa na ki2 nyuma yake?
aliyebebwa ni amiri jeshi fm 2015
Mwacheni rais wetu cpt mstaaafu ajipange kuelekea kinyang'anyiro 2015. Sio kwamba anakumbatiwa uwezo wake wa kiutawala na kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati hauna mashaka na kwa sasa wote twaona pengo lake. Na mara nyingi mti unaorushiwa mawe ndo wenye matunda matamu. Hofu yenu nini jamani. VIVA Capt.....go...go.go..my hero!.....
Nianze kwa salam kwa wana jamvi,kwnza kabisa nimekuwa navutwa sana na mada mbalimbali za
jamnvini, hatimae nami najiweka kama hiyo, hongereni kwa kazi nzuri by chandira. El ndio mikato yake
hyo yakumlinda nadhani ndio style ya law of succession..., jf daima