pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
KitochiUnapiga namba yako haipokelewi au unapiga hiyo namba ya mwizi...
Maana umesema unamfahamu...
Mkuu ya kweli haya hata kama simu yangu ilikuwa ni kitochi.,Njia rahisi tu, nenda polisi karipoti alafu utapewa lost-report alafu nenda kwenye ofisi ya kampuni ya laini husika pale utaambiwa kila kitu laini yako ilipo mpaka utampata kiulaini kabisa.
Wana gharama yoyote?Njia rahisi tu, nenda polisi karipoti alafu utapewa lost-report alafu nenda kwenye ofisi ya kampuni ya laini husika pale utaambiwa kila kitu laini yako ilipo mpaka utampata kiulaini kabisa.
Mkuu ya kweli haya hata kama simu yangu ilikuwa ni kitochi.,
Je wanaweza kufahamu mahali line ilipo na wakati nikiipigia haipatikani...?
Nenda customer service,kabonge vizuri na mfanyakazi wa Hapo,akupee locationNina shida kwa mwenye kujua gharama ama process za kufuata ili uweze kumtrack mtu kupitia nambari yake ya simu kwa kupitia TCRA mlolongo uko vipi?
Mwenye kufahamu anijulishe. Ninayemtafuta ni mwizi ameniibia simu yangu na Nina mfahamu nikimpigia namba yake anapatikana na hapokei simu .
MSAADA PLEASE!!
Mkono mtupu haurambwi
Kama haipatikani hutoweza kumpata lakini utaambulia angalia last seen yaani sehemu yamwisho laini yako kusoma mtandaoMkuu ya kweli haya hata kama simu yangu ilikuwa ni kitochi.,
Je wanaweza kufahamu mahali line ilipo na wakati nikiipigia haipatikani...?
Kama hiyo simu sio muhimu sana bora uache tu, au kama una ishu nyingine ila kwa ufupi hapo gharama utakazotumia za mzunguuko wa hiyo ishu inaweza kufika mara 3 ya hiyo simu bei yakeNina shida kwa mwenye kujua gharama ama process za kufuata ili uweze kumtrack mtu kupitia nambari yake ya simu kwa kupitia TCRA mlolongo uko vipi?
Mwenye kufahamu anijulishe. Ninayemtafuta ni mwizi ameniibia simu yangu na Nina mfahamu nikimpigia namba yake anapatikana na hapokei simu .
MSAADA PLEASE!!