GE2025 Kulwa Biteko achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Katoro

GE2025 Kulwa Biteko achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Katoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Zoezi la Uchukuaji Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge katika Majimbo Mkoani Geita limeanza, ambapo leo June 28, 2025 Mwambata kutokea katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Kulwa Biteko amewasili katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Geita na kuchukua fomu kwa lengo ya Kugombea Ubunge Jimbo la Katoro.

1751099904487.png
Kulwa Biteko ni pacha wa Dotto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, amewasili katika Ofisi za Chama hicho na kupokelewa na Mwenyeji wake ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya Geita , Michael Msuya ambapo amemkabidhi fomu ya kugombea nafasi hiyo ya kuwawakilisha wananchi wa Jimbo jipya la Katoro.

Zoezi la Uchukuaji Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge katika Majimbo Mkoani Geita limeanza,  am...jpg
 
Sidhani kama amekurupuka ,kuna namna ametonywa.
 
Nchi imekaa kiundugu undugu.. Doto uku Kulwa kule
 
Jakaya Kikwete achukua fomu kugombea ubunge kupitia Jimbo la Bagamoyo
 
Back
Top Bottom