Kulipa madeni ya bodi ya mikopo baada ya miezi 2

Kulipa madeni ya bodi ya mikopo baada ya miezi 2

astefaith

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
60
Reaction score
27
Habari za jioni wana bodi.

Nimefatilia taarifa ya habari Leo ITV na moja wapo ilikua ni juu ya kurejesha madeni wanafunzi wote waliokopeshwa na Bodi ya mikopo,kilichonihuzunisha ni hii sheria inayosema baada ya miezi 12 wadaiwa walipe mikopo yao? La siivyo watashtakiwa
Swali langu ni hili
1.je sheria imezingatia wale ambao hawakupata ajira hata baada ya miaka 7 baada ya kuhitimu
2.naomba ambae anaifahamu hii sheria aiweke mezani nipate maarifa anisaidie
 
kifupi ni kwamba hiyo sheria haitumiki...
 
Mbona hiyo sheria ilikuwepo siku nyingi tu?

Utekelezaji umeanza awamu hii....
 
Kwani ukikopa unategemea nini?
Yaan watanzania tunamatatizo kichwani
 
Back
Top Bottom