Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
😀😀😀Karibu mjini...
Mimi nikikaa sehemu nakula sitaki mazoea na yeyote nisiemfaham..
Kuanzia ombaomba Hadi wauza bidhaa ..nawapa Sura ya kukataa mazoea hata hawanisogelei....
Wadada WA hivyo kama mzoefu rahisi Sana kuwa spot na kuwafungia vipi mapema sana
Yaani acha tuUtapeli upo wa aina nyingi sana
Na walevi huwa mnaaminiana kiboya sanaMatapeli ni noma. Kuna jamaa hatufahamiani aliniibia simu kiulaini sana. Kanikuta kwenye meza nimekaa akaja anapiga vitu mixer story utadhani ananijua. Mitungi imeshaanza kunikaa sawa akaniomba simu ampigie demu wake yake salio limeisha. Nilivyo boya nikampa akaongea naye mara kama anasogea pembeni mara anatokomea mi namcheki tu! Kuja kusanuka nishaibiwa! Mjini shida sana
CHAI halihitaji degree kulifahamu hilo,😀😀😀😀muhudumu angenieleza vzuri yaani mtu hukuingia nae, amehamia mezani kwako na kinywaji ndo ulipe wewe
Yaani ni nomaNa walevi huwa mnaaminiana kiboya sana
Wewe ni tapeli wa Aina gani...? 😁😄🙌Utapeli upo wa aina nyingi sana