Kulinda kura 25 Oktoba, 2015

Kulinda kura 25 Oktoba, 2015

Mshiiri

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
2,012
Reaction score
516
Inavyoonekana chama tawala kimeamua kutengeneza mazingira ya kupoteza imani na wananchi kwa kuona kwamba wanahitaji mabadiliko na wao wameshindwa kuwapa watanzania sasa wanatumia njia za matisho na kejeli na kujitoa ufahamu hata kwa wale wenye weledi wa sheria alimradi wapate fursa ya kutenda mambo yao ya kishenzi ambayo wameyatenda tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini - udikteta.

Kulinda kura ni haki ya msingi ya raia kama ilivyo kujilinda wenyewe kwa kuwa hata dola zinatenda kusaidia chama tawala - aibu sana.

Sasa mimi pengine ningekuwa na wazo wananchi tuzuie access kwa watu wasiohusika kwenda eneo la kupiga kura ama kupeleka maboksi, ama hot pots, ama mabegi ya fedha, ama kupitisha gari lenye maboksi, ama mtu yeyote tutakayemtilia shaka na ikiwa lile siyo eneo lake la uchaguzi asipewe fursa kwenda eneo la kupiga kura kwa njia yeyote ile hadi matokeo yatoke.

Hii ni haki ya msingi na acha wao chama tawala waongelee kuhusu mita mia mbili (200), sisi tutaongelea kuhusu access ya majizi ya kura. Hapa bado tutakuwa tumelinda kura zetu

Nawakilisha
 
Kura ni mali. Mtu anayesema tusilinde mali huyu anataka kufanya mchezo mchafu au?
 
Kuna mitihani itakuwa imevuja kipindi cha usambazwaji mashuleni nina shaka na hilo....kwanini wanawakataza wanafunzi wasilinde karatasi zao za kufanyia mtihani(kupimwa Akili)...maana huu ndio wakati wa mtanzania kupimwa Akili na kile alicho elewa ndani ya mafunzo ya miaka 10 yanayoisha kesho kutwa tarehe 25 oct mwaka huu.....NI MTAZAMO TU
 
Jamani tulinde kura bila hivo haya majambazi yatatupiga tu tucheze maeneo ya vituo tu tukiona mtu anaingia ni mawe tu
 
Back
Top Bottom