Kulikuwa na sheria ya kuchagua mechi ya kutumikia kadi, unaikumbuka?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,697
Ndiyo na haya ndio maisha yetu ya soka, hayatofautiani sana yale ya kisiasa. Zipo au ipo timu iliwahi kunufaika na ofa hiyo kubwa ya kujichagulia mechi za kutumikia adhabu.
Sishangai na wala sitashangaa, wao si wanadhani wameshika mpini? Hawajui tu sisi ndio tumeshika huo mpini.

Kivipi?

Mpango mzima ni kugoma kuingia viwanjani.
 
Waaambie hao wanaovuruga mpira wetu.
 
Ndiyo na haya ndio maisha yetu ya soka, hayatofautiani sana yale ya kisiasa. Zipo au ipo timu iliwahi kunufaika na ofa hiyo kubwa ya kujichagulia mechi za kutumikia adhabu.
Sishangai na wala sitashangaa, wao si wanadhani wameshika mpini? Hawajui tu sisi ndio tumeshika huo mpini.

Kivipi?

Mpango mzima ni kugoma kuingia viwanjani.
Usipoingia uwanjani unapokwa Pointi then unashuka daraja very simple
 
Vyura mipovu inawamwagika mwaaaaaaaaaaah hahahahahaahah kuongoza ligi rahaaaaaaaa
 
Kuna wa2 mnasumbuliwa na mihemko....sheria zipo ztumike...povu la nn sasa......yanga bhna.....!!!!
 
Ndanda walinyimwa pointi waliwaambia timu inaweza kuchagua mechi leo makosa yaleyale timu inanyang'anywa pointi hilo ndio tatizo la soka letu.
 
Inamana Mezani fc usajili wote walioufanya ili wachezaji wao wacheze uwanjani imeshindikana wameamua kucheza mezani hii kwenye mvurugo
 
Back
Top Bottom