Kulikoni tena bodi ya uhasibu NBAA kuanza kuandika majina kwenye booklet za kujibia Mitihani?

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,339
782
Nimeshangazwa na bodi ya uhasibu kuanza tena kuandika majina badala ya namba sijaelewa mantiki ya wanachokifanya
 
Mkuu mbona ueleweki? Andika kwa ufasaha ueleweki. Wameanza kutumia majina badala ya namba kwenye nini?
 
huyu itakua kashikwa masomo karbia yote so ka PANIC, kwa mziki ule wa "tax+performance+audit+fa+fm" huwezi chomoa kwa akili zako za kichovu kama post yako hii,
 
huyu itakua kashikwa masomo karbia yote so ka PANIC, kwa mziki ule wa "tax+performance+audit+fa+fm" huwezi chomoa kwa akili zako za kichovu kama post yako hii,

IVI WATU BADO WANAANGAIKA TU NA ILE MITIHANI YA CPA??.... DAH MIMI ILE MITIHANI ILIJUTA KUNIFAHAMU. SIJUI PERFORMANCE MANAGEMENT NA WENZAKE AKINA AUDIT NILIWAPA MAMBO NA NGUMI NYINGI TU ZA USO MPAKA WAKATANUA MIGUU NIKAFANYA YANGU MAPEMAAAa
 
Back
Top Bottom