Kulikoni mheshimiwa fredrick sumaye???? ??

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,096
1,332
Habari ndugu zangu wana JF?ama baada ya salam ninapenda kuuweka jamvini utata nilionao kuhusu bwana Sumaye Waziri mkuu mstafu wa serikali ya awamu ya tatu,mwaka 2005,alikua ni mwiba kwa kikwete kipindi cha kugombea kupendekezwa na chama cha mapinduzi ili kugombea urais, baada ya hapo nasikia alikwenda havard USA kusoma,lakini utata nilionao unatokana na ukimya wake wa muda mrefu si msikii kabisa simuoni kwenye mambo mbalimbali ya jk je wana bifu? Na pia ningependa ye ye sio fisadi?kwa maana haongelewi kabisa na sijaskia akihusishwa na scandle yeyote ile, pia vipi bado anampango wa kujaribu kugombea urais 2015?nitashkuru kama nitasaidiwa mawazo yenu kwa hayo yanayonitatiza. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
sumaye fisadi tuu!arejeshe kwanza mashamba anayomiliki morogoro na jeetu patel!
 
Habari ndugu zangu wana JF?ama baada ya salam ninapenda kuuweka jamvini utata nilionao kuhusu bwana Sumaye Waziri mkuu mstafu wa serikali ya awamu ya tatu,mwaka 2005,alikua ni mwiba kwa kikwete kipindi cha kugombea kupendekezwa na chama cha mapinduzi ili kugombea urais, baada ya hapo nasikia alikwenda havard USA kusoma,lakini utata nilionao unatokana na ukimya wake wa muda mrefu si msikii kabisa simuoni kwenye mambo mbalimbali ya jk je wana bifu? Na pia ningependa ye sio fisadi?kwa maana haongelewi kabisa na sijaskia akihusishwa na scandle yeyote ile, pia vipi bado anampango wa kujaribu kugombea 2015?nitashkuru kama nitasaidiwa mawazo yenu kwa hayo yanayonitatiza. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Yeye hataki unafki ndo maana huwezi kumwona kwenye shughuli za kihuni. Boyz 2men Walimsingizia kua yeye ni fisadi wakahonga waandishi waandike habari za bank account zake za uongo lakini yeye hakujali. Angekua fisadi nadhani mkapa naye angekua zaidi yake maana ndo alikua bosi wake. Alinifurahisha sana wakati wa kampeni maana hakuangaika hata sehemu moja.
Nakumbuka siku moja akiwa anahojiwa na BBC wakati wa skendo ya richmonduli alisema wapo waliomsingizia ufisadi lakini yeye kastaafu kwa heshima anakula mafao yake je wako wapi wale waliomwita fisadi!!
 
Ukimya upi unouongelea wakati jana tuu katoka ongelea suala la katiba mpya.
Na wakati wa kampeni za 2010 alingaka kuhusu kutomchafua Slaa pale CCM walipotaka awasaidie kwenye kampeni
Uko Tz mkuu?
 
hapana ndugu yangu,sipo tz,nipo huku scandnavia. Any way nashkuru kwa kunijuza,kama una maelezo zaidi yanamgusa mojakwamoja ntashkuru kama utanipatia. Unajua nimekua namfikiria sana hata sijui kwa nini! Well ahsante.
 
Siasa za Tanzania ni ngumu ukidondoka umedondoka kisawasawa. Lakini tulipo na tunakoelekea ili uweze kusurvive ktk siasa lazima uwe na tecn. Pamoja na pesa.
 
Ameona ni busara akae kimya kuliko kuongea hovyo hovyo. Siasa ya Tz inahitaji umakini sana hivyo hapendi kujiingiza asije akachafuliwa bure
 
ni nani mwenye kukuthibitishia kuwa ni fisadi ama lah? achana na habari za vichochoroni lete habari kamili
 
Juzijuzi ndiyo kamaliza masters yake ya political science. bado ana ndoto ya kuwa rais wa Tanganyika.
 
Ulitaka umsikie ili nini, si amestaafu...? He is reaping the fruit of his labour (ufisadi) for 10 years as a prime minister...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom