Nnachoamini wanawake huwa hawajui wanachokiitaji.
Utampa promic na kuzifulfil lakn bado utakuta anatapatapa kama fisi.
Amini msemo huu 'Mwalimu wa Mwanamke Ni Kipofu'
wanaume kabla ya kuoa promises nyiiingi. ukishaingia ndani unakuta ana matatizo yote ya dunia i.e, mvivu, malaya, abusive, mkali kama pilipili, mchafu etc. na promises zote ni fake tu. sasa ukae hapo ili iweje!
huo ndio ukweli sista, watu wanafunga Na kuomba ili ndoa ije...
yawezekana uliokewa ukiwa Na umri wa kawaida 23-27yrs, above hapo ni shida kwa wadada..