incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,286
mkuu mi nadhani hawajui usimamiz kwa wasaniiKUNA KUJUA KUIMBA NA PIA KUWA NA NDOTO ZA KUFIKIA MAFANIKIO YA MZIKI UNAOFANYA.HIVI NI VITU VIWILI TOFAUTI.WENGI WAO HUWA HAWAKO DEDICATED KWENYE KAZI ZAO
Mkuu wasanii wa mambele ndio wanaojua kiki bongo wanaiga tu huko nigeria ndo wakina wizkid ayo wanapiga selfie chooni wanakun** ila bado wanahitWa huku kwetu wakishatoka wanaanza kuwachukua wabongo movie na hapa mziki wanauweka pembeni zinafata kiki tu,msanii anakuwa anajulikana kwa kiki kuliko Kazi, Kazi ndio zinaleta shows na sio kiki.
Kongowe ya mbagala?aliyekwambia aslay anakunywa pombe nani??? Darasa tunashinda naye ukuu saloon kongowe ,
Kongowe Kibaha itakuwa!Kongowe ya mbagala?
anakunywa kichizi.aliyekwambia aslay anakunywa pombe nani??? Darasa tunashinda naye ukuu saloon kongowe ,
Kumbe na wewe Abdu Kiba unatumia ID fake...!?Habari zenu wakuu..
Naomba tushauliane hapa, yawezekana hili naliona peke yangu.....
Kwanini wasanii wa bongo fleva ikitokea msanii akavuma sana ndo unakuwa mwanzo wake wa kupotea?
Mbona wenzetu wa nigeria msanii anaweza kutoa hata ngoma moja na akavuma the whole Africa hadi nakuchukua Tuzo za MTV ... na ma awards kibao
Mfano Vijana wa nigeria akina
Wizzkid Ayo
Tekno miles..
Koledebello...
Patoraking..
ETC
Ni kama wameanza kusikika na Vijana wetu Akina
Baraka da prince...
Moo music..
Aslay....
Darasa...
Belle 9
Ben poul
Ila cha ajabu wenzetu wanapanda chati kila kuchapo huku kwetu ndo kwanza Vijana wetu ndo tunaanza kuwazika katika game na kusahaulika.
Mfano Moo music ndo basi yupo kama hayupo...
Baraka da prince ndo huyo yupo kwenye mseleleko kuelekea bondeni huko akauze samaki
Darasa ndo tena hatujui anafanya nini huko alipo
Belle 9 Ndo kashaanza kucheza ndondo cup collable na akina msaga sumu[emoji23] [emoji23]
Ben poul ndo huyo anajituma hadi na kiki za kupakwa mafuta ila bado hasikiki ..
Jamani kwanini sisi Watanzania?
kibaya zaidi hata mdogo wetu Aslay amekuja tukajua angalau ameleta mapinduzi, saizi ndo basi ameanza kunywea naskia kabisa na tetesi saizi ni yeye na pombe tu analewa hadi anaandika barua kwa wafu!
Kwanini Tanzania iwe WCB na KIBA tu ile hali tunovijana wazuri wanaojua kuimba?
Maoni yenu wadu[emoji26] [emoji26]
kwann mkuu uabdu umekujaje?Kumbe na wewe Abdu Kiba unatumia ID fake...!?
HahahahaaaaaaahaaAslay anakunywa wap bwana Dah Yountozy nakujua sana kwa Porojo
Hawana strategy, vision Na determinationHawajielewi wenyewe.
sasa mtu anapiga picha anapakwa mafuta makalioni mara apake rangi ya kijani kichwani unategemea atadumu kwenye muziki? Dimpoz kashachemka sa hivi kaamua kaamua kujionyesha waziwazi kula matunzo anayopata kutoka kwa bwana zake tu huko mbele...Habari zenu wakuu..