Ni kwa mara ya 3 sasa nashindwa kuelewa na kupata jibu kamili, Jaji Mkuu wa Tanzania Kila aendako namwona pia Lawrence Masha sasa je ni Mwambata wake au ukisha ingia kwa system basi hutokii???
KULIKONI JAJI MKUU Othmani Chande / LAWRANCE MASHA
JK alivo na mazingaombwe usikute anataka kumteua masha kuwa jaji mfawidhi mahakama ya mambo ya malalamiko na uhusiano bora na jamii....si ana mamlaka ya kuunda mahakama ya hivi???
JK alivo na mazingaombwe usikute anataka kumteua masha kuwa jaji mfawidhi mahakama ya mambo ya malalamiko na uhusiano bora na jamii....si ana mamlaka ya kuunda mahakama ya hivi???
Alikuwa mambo ya ndani,ndo anaijua mipaka ya nchi ili chande asijejikuta mahakama ya malawi kama ameenda ziara za kusini. Ujue Masha ni lawyer,sometimes anamsaidia AG kukagua mafile na kupanguza shelves!