Kulikoni Huduma ya Luku

Walisema Kuanzia Saa 7 Usiku ya Tareh 10 Mpaka Tareh 11 Mwez 12
2017

Ndio Watazima Cha Ajabu Leo Kuanzia jana Wamezima Hakuna Huduma Ya Luku Na Inasadikika Kuwa Lile Jengo La Tanesco Ndio System Ilipo Ivyo Upomoaji Wake Unachangi Kwa Kias Kikubwa Kukosekana Kwa Network

Tetesi Iyo Ni Mpaka J3

Maneno Yangu Sio Sheria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom