Walishindwa kusema hivyo wakati wanatoa tangazo la kusitisha? Kwanini hawakutoa ratiba baada ya hayo mazoezi kukamilika?Sababu zinajulikana , zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa na mitihani ya kidato Cha nne
Kila mtu anabahatisha mkuu,,afu uchaguzi ni trh 27/11, inamaana shughuli nyingine zikwame Kisa uchaguzi, kuna secret behindWalishindwa kusema hivyo wakati wanatoa tangazo la kusitisha? Kwanini hawakutoa ratiba baada ya hayo mazoezi kukamilika?
Kwanini wameondoa majina kwenye wavuti baadala ya kufanya marekebisho ya tarehe ya interview na majina yakaendelea kubaki pale pale?
Uchaguzi na mitihani ina uhusiano gani na usaili, mbona shughuli nyingine za serikali zinaendelea?
Kwani usaili ungeathiri vipi uchaguzi na mitihani?
Wakati wanapanga hizo tarehe za usaili hawakujua kuwa kuna uchaguzi na mitihani itafanyika wakati huo?
Tumeshuhudia saili za afya zinafanyika vyuoni na mitihani hufanyika shuleni, kuna uhusiano gani wa mitihani na vyuo?
Uchaguzi hauwezi kuzuia usaili, na kama sababu ingelikuwa hiyo wangelibadilisha ratiba na sio kusitishaKila mtu anabahatisha mkuu,,afu uchaguzi ni trh 27/11, inamaana shughuli nyingine zikwame Kisa uchaguzi, kuna secret behind
Uchaguzi ni tarehe nov 27 na usaili ulitakiwa uishie nov 19 hakuna uhusiano hapoSababu zinajulikana , zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa na mitihani ya kidato Cha nne
Kiufupi sababu hazijulikani wanazijua wenyewe na wameamua wasiziweke hadhalaniWalishindwa kusema hivyo wakati wanatoa tangazo la kusitisha? Kwanini hawakutoa ratiba baada ya hayo mazoezi kukamilika?
Kwanini wameondoa majina kwenye wavuti baadala ya kufanya marekebisho ya tarehe ya interview na majina yakaendelea kubaki pale pale?
Uchaguzi na mitihani ina uhusiano gani na usaili, mbona shughuli nyingine za serikali zinaendelea?
Kwani usaili ungeathiri vipi uchaguzi na mitihani?
Wakati wanapanga hizo tarehe za usaili hawakujua kuwa kuna uchaguzi na mitihani itafanyika wakati huo?
Tumeshuhudia saili za afya zinafanyika vyuoni na mitihani hufanyika shuleni, kuna uhusiano gani wa mitihani na vyuo?
Jina lako limenichekesha sana na ukizingatia sahv ni kipindi cha mvua,huku kwetu wanunua dagaa wanabetTarehe mpya ya usaili itatangazwa itakuwa Kati ya December to January 2025
Na December watu wanavyosafiri zao kula sikukuu na rikizo,,,, Utumishi kazi wanayoTarehe mpya ya usaili itatangazwa itakuwa Kati ya December to January 2025
Afu wakiweka December ni muda mbaya watu wanasafiri zao kula sikukuuUchaguzi hauwezi kuzuia usaili, na kama sababu ingelikuwa hiyo wangelibadilisha ratiba na sio kusitisha
Kwanini wasitoe paper moja kwa walimu wote wasicategorize masomo atakaepita atapangiwa kulingana na masomo yake aliyosomeaWatu 176000+ kuwafanyisha paper, kumark, na kuchakata tokeo mara mbili sio KAZI ya kitoto.
Hii ni zaidi ya necta jamaa wanakusanya nguvu kwanza
Nafikiri miongoni mwa vitu vinavyowachanganya ni hivi.Kwanini wasitoe paper moja kwa walimu wote wasicategorize masomo atakaepita atapangiwa kulingana na masomo yake aliyosomea
Hii itapunguza mzunguuko wa kuwafanyia interview mara mbili mbili kwa mtu mmoja maana walimu wengi wamechukua masomo mawili na ndio maana idadi inaonekana kubwa
Kila somo linanafasi yake. Kama unafundisha kiswahili na kiingereza inabidi ufanye interview ya kiswahili na kiingereza. Hata kwenye mfumo, utaratibu wa maombi ulikuwa kwa kila somo.Kwanini wasitoe paper moja kwa walimu wote wasicategorize masomo atakaepita atapangiwa kulingana na masomo yake aliyosomea
Hii itapunguza mzunguuko wa kuwafanyia interview mara mbili mbili kwa mtu mmoja maana walimu wengi wamechukua masomo mawili na ndio maana idadi inaonekana kub
Mtu mmoja afanyiwe interview nne ni mzunguuko sana, ni kweli walimu ni wengi lakini wangejipunguzia mzigo usio na lazimaNafikiri miongoni mwa vitu vinavyowachanganya ni hivi.
Naamini watarudi na suluhu nzuri zaidi
Kuna area nyingi sana za kumsaili mwalimu ukiachana na somo husika ambazo pia ni muhimu mfano ethics, assessment and evaluation, teaching methodology ambazo criteria hizo zinafanana kwa kila ngaziKila somo linanafasi yake. Kama unafundisha kiswahili na kiingereza inabidi ufanye interview ya kiswahili na kiingereza. Hata kwenye mfumo, utaratibu wa maombi ulikuwa kwa kila somo.
Kufanya mtihani mmoja wote kuna uwezekano wengi wa somo fulani kupata marks za juu, halafu wengine wakapata marks za chini. Kutengeneza usawa..kila somo lifanye mtihani.
Ugumu bado upo. Serikali ilishaacha kuajiri mtu kufundisha somo moja. Kila mwalimu anatakiwa kufundisha masomo mawili. Kama mwalimu x wa masomo mawili let say kiswahili na kiingereza, akifanya interview akifeli moja wapo...akiajiriwa atafundisha somo alilofaulu.
Hii ngoma bado ngumu. Ngoja tuone mwisho wake.
Kwa pdf zinazotolewa kwa watu wa Afya hii hoja yako naipingaNakusanua Man!
Serikali Haina Nia ya dhati ya kutoa ajira hizo Bali wanatangaza wapate coverage kwenye media ili ionekane ni serikali ya ajira kwa wasomi kumbe ni spinning za hapa na pale!!
Kwa walimu Utumishi lazima wachanganyikiwe, mtu mmoja mwenye masomo mawili akifaulu written inamaana atakuwa kapiga interview nne,,, in short walimu 170000+ ni kama NECTA form six,,je serikali ilikuwa imetenga billions of TSH Kwa ajiri ya usahiliKwa pdf zinazotolewa kwa watu wa Afya hii hoja yako naipinga
Leo imetoka mikeka miwili ya nguvu mkuu hizi ajira sio geresha ila kwa walimu ni mode ya kuwasaili inakosekana kulingana na wingi wao
Hiyo ya teaching methodology naethiKuna area nyingi sana za kumsaili mwalimu ukiachana na somo husika ambazo pia ni muhimu mfano ethics, assessment and evaluation, teaching methodology ambazo criteria hizo zinafanana kwa kila ngazi
Hii pia ingewasaidia kuwapangia kulingana na masomo waliyosomea mfano mwalimu akifaulu usaili anaweza pangiwa kufundisha masomo yote mawili
Hiyo ya teaching methodology and ethics...n.k ndio iliyokuwa inatarajiwa..lakini masomo mawili sasa. Na kumbuka kila somo limeombwa tofauti.Kuna area nyingi sana za kumsaili mwalimu ukiachana na somo husika ambazo pia ni muhimu mfano ethics, assessment and evaluation, teaching methodology ambazo criteria hizoth zinafanana kwa kila ngazi
Hii pia ingewasaidia kuwapangia kulingana na masomo waliyosome mfano mwalimu akifaulu usaili anaweza pangiwa kufundisha masomo yote mawili
Hizo 170k ni nafasi zilizojazwa ili kupata idadi kamili gawa kwa mbili maana walimu wengi wana masomo mawiliKwa walimu Utumishi lazima wachanganyikiwe, mtu mmoja mwenye masomo mawili akifaulu written inamaana atakuwa kapiga interview nne,,, in short walimu 170000+ ni kama NECTA form six,,je serikali ilikuwa imetenga billions of TSH Kwa ajiri ya usahili