Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
Unajua itakuwa embarrassment sana kwa walimu kila siku mfano anapanda gari bure halafu konda anamuuliza nauli halafu mwalimu anajibu "mi mwalimu" . It is boring kwa kweli kama Paul Makonda angeamua kuwasaidia walimu angetumia njia hii.
wastani wa nauli kwa siku ni 800 halafu kwa siku 20 za mwezi ina maana ni kitu kama 16,000 kwa kila mwalimu. So hapo Paul Makonda angekutana na halmashauri ili wajadili kama kuna fungu la 16,000 kila mwezi ambayo inaweza kuwa kama allowance ya usafiri kwa kila mwalimu. Ko hapo sasa halmashauri wanaweza wakaliweka hilo kwenye mipango yao na ku allocate funds kwa ajili ya usafiri wa walimu wa manispaa ya kinondoni. Na sio hili suala la kusema aingie kwenye gari akae kwenye kiti bure italeta ukakasi sana.
Halafu it is against market economy, inakuwa vipi mamlaka za kiserikali zinaingia kwenye sector binafsi na ku emphasize zero price? hata kama ni kwa makubaliano. Zero price haiwezi kuwa na economic gain yoyote kwa sector binafsi. Kama halmashauri wangefikiria hili la kuwapa transport allowance ina maana hiyo sera ingekuwa ni kama kichocheo kwenye uchumi wa Kinondoni na ni redistribution nzuri ya income kwenda kwa wananchi maana is like unasema kuna purchasing power imeongezeka kwa walimu. Ko ni jambo bora kuliko kusema bure.
Kuna watu watasema oooh manispaa itapata wapi pesa? na mimi nawauliza sector binafsi itapata wapi pesa za kufidia hasara ya 'zero price'?
2+3= 5
1+4= 5
Huwezi kulazimisha kila saa kama unataka jibu liwe 5 basi unalazimisha kujumlisha 2+3 saa nyingine fikiria kwamba hata 1+4 jibu litakuja 5. Ni hayo tu