Kuliko hivi...bora Ugadafi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuliko hivi...bora Ugadafi Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masingo sharili, Mar 25, 2011.

 1. m

  masingo sharili Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NI MIAKA 50 YA UHURU WATANZANIA HUKU WATANZANIA WENGI WAKIGUBIKWA NA UMASIKINI WA KUTUPWA. KWA UPANDE MWINGINE MIAKA 42 YA UTAWALA WA GADAFI UMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA KWA LIBYA HUKU AKIFANIKIWA KUTOKOMEZA UMASIKINI WA KIPATO KWA WALIBYA.MZEE HUYU AMETUMIA RASILIMALI YA MAFUTA PEKE YAKE KUFANIKISHA YOTE HAYO. WATANZANIA TUMEKUWA NA UTARATIBU WA KUBADILISHANA MADARAKA KWA KIPINDI KIREFU INGAWA TUMEKABIDHI UTAWALA KWA CHAMA KIMOJA. UTAMADUNI HUU HAUJAWASAIDIA WATANZANIA HATA KIDOGO KWANI KILA KUKICHA UMASIKINI UNAONGEZEKA. TUNA MADINI MENGI, MBUGA ZA WANYAMA, ARDHI NZURI, BAHARI, MAZIWA MAKUBWA, MISITU NA GESI ASILIA LAKINI SISI NI MASIKINI. LIBYA KUNA UDIKTETA WA GADAFI LAKINI KUNA MAISHA MAZURI KULIKO TANZANIA, CHINA NAO WALIENDELEA KWA KUTUMIA MFUMO HUOHUO. NDUGU ZANGU SITAKI KUSUJUDIA UDIKTETA ILA KULIKO TUTESEKE HIVI....NI BORA TUNGEKUWA NA GADAFI WETU TANZANIA. Ni mtazamo tu.
   
 2. oba

  oba JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  That is true bro!
   
Loading...