Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
haha ha ha kweli pamoja na kulambishana maji taka bado haitoshi na wengine wanaenda zaidi hadi kwenye taka zingine..........
daaa mapenzi siku hizi yamekuwa ya fashion sana ,wengine bila kula taka wanajua hawapendwi na hata ukilamba taka halitokuwa suluhu la upendo bali bado hitahitajika njia nyingine ya kuendelea kuthibitisha una upendo.
Mleta mada,
Wenda ukawa sahihi at some point lakini vilevile kuna upande mwingine umeupunja kwa kiasi fulani katika hilo hitimisho lako.
Sitajikita kwenye huo upande uliopo sahihi kwa kuwa hoja yako hapo imejitosheleza kwa kiasi kikubwa. Ningependa zaidi nijikite kwenye huo upande mwingine ambao naamini umeupunja; hivi una tambua kuwa kuna baadhi ya wasichana/wanamake wao uwa wanavua chupi kwa wale tu wanao wapenda kwa dhati?, na kamwe hawapo tayari kuvua chupi (hata kama ni wapenzi wao) kwa wale ambao hawana mapenzi nao? Nadhani hapa waweza kupata picha kwanini mara nyingine "ngono" hutumika kama kipimo cha kutambua kama kuna unapendwa au lah (mimi ni dume, so nimezungumzia jinsia ya kike).
mmmmmh kulambishana tena ......?
kulithibitisha hili la kwako naona nao ni mtihani kwa walengwa tu wengeo yetu macho!
Huyo jamaa yako uelewa wake sijui hata hua ukoje, so anamaana wasichana/wanawake wanaowavuliaga nguo mabosi wao hua wanawapenda? Very poor thinking capacity, ndio maana yupo magambani!
Rutashubanyuma, ni kweli bila Neema na Rehema zake Mungu, hatuwezi, maana watu tunavyojihalalishia unajisi utadhani tumejiumba wenyewe. Mungu atuhurumie sana na kutupa maongozi yake