Jambo la ajabu ni kwamba Mo akiongea ukweli watu wanamjia juu. Hoja inatakiwa ijibiwe, sio kumshambulia mtoa hoja. Je, si kweli kwamba mchakato umekaa miaka sita na hauendi mbele? Je, si kweli hali hiyo inaweza kumkatisha tamaa hata mwekezaji mwingine yeyote ukiacha Mo?