mtoto na baba yake:
mtoto:kwan baba
unataka kuanza tena
shule ya msingi?
baba:kwa nini
mwanangu?
mtoto:jana usiku nilisikia
mama anakuniong'oneza
eti mwende la pili au?sasa
nashindwa kuelewa mim
mwenyewe nipo darasa
la nne sasa itakuweaje
tena baba?
baba:du