Kula damu ya wanyama kuna madhara?

surubu kwetu

Member
May 13, 2014
59
12
Nimekuwa nakula na kunywa damu ya mbuzi,kondoo,ng'ombe pindi tunapochinja. Je kuna madhara ya kiafya?
 
Kama ni dhambi basi wachaga woote wakatubu maana wanapenda sana hiyo makitu wakiita : kisusio
 
Basi wengi mkoa wa Mara wataangamia. Wao ni zaidi ya damu, nyama mbichi, inachanganywa na mavi ya mnyama, nyongo yake na mipilipili kibao hapo Mkurya anashangilia msosi wa nguvu. Damu ya mnyama ina madhara
 
Nionavyo mimi damu inabeba vinasaba hai na seli za mnyama husika endapo seli zitakua na maambukizi ya bakteria au virusi ni rahisi kumpata binadam..rejea chanzo cha Ebola hata Hiv .Pia machapisho ya kitabibu ya kale yanaonesha jinsi mwanadam alivofanikiwa katika kutatua changamoto za maambukizi kwa kusoma mfumo wa damu. kiimani/kidini desturi ni kuchinja na kuacha damu itiririke ardhini siri kubwa ilkua ni kuruhusu seli ambukizi kutoka kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom