ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,635
Na Baba yake mzee wa vyuma toka picha linaanza hajawah kushusha sigara chiniMzee ni mtu cool sana,lakini ukiingia 18 ndo unamjua ni nani.
Director muindonesia kaitendea haki SanaKazi nzuri saana
Movie Kali sana hii π₯
Angalia na ya kwanza.Kumbe kali ? Nilitaka kuipakua nikaipotezea kumbe ni chuma bwashee?
Asante sana mkuuAngalia na ya kwanza.