Kula bata adi kuku wanaona wivu

kijembeee

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
409
105
mlicheki Lawrence Masha akihojiwa na Salama Jabir jana,eti Salama akamuuliza nackia ulipigwa chin kwenye uchaguzi kisa ulikua unakula bata adi kuku wanaona wivu,ingekua wewe ungejibuje?
ingekua mimi ningejibu mimi msabato sili bata coz bata ni haramu
 
Salama : - Mheshimiwa alafu we hendsome sana! Vipi kuhusu totoz ?
Masha :- Sijakusikia salama!
(swali hili Mhe hakulijibu)
 
Back
Top Bottom