pole sana mkuuBasi katika kuwasiliana wasiliana nikajatokea nawasiliana na mchumba wake na yeye alikuwa hasemi kama ana mchumba. Tukaishia hapo.
Atatudanganya kuwa ni mfanyabiasharatuachane na wanawake kwanza.
Vipi hizo safari nyinginyingi we konda?
Acha ushamba mkuuu watu kila siku tunasafiri.kwa week Mara tatu tunatoka nje ya mkoa.muda huu nipo safarini na pembeni amekaa mrembo amevaa miwani mzuri balaa ila Hana smartphone masikini.anachati na kidogolituachane na wanawake kwanza.
Vipi hizo safari nyinginyingi we konda?
[emoji23] [emoji23] chukua namba hizo askari.Acha ushamba mkuuu watu kila siku tunasafiri.kwa week Mara tatu tunatoka nje ya mkoa.muda huu nipo safarini na pembeni amekaa mrembo amevaa miwani mzuri balaa ila Hana smartphone masikini.anachati na kidogoli
Naomba niwe mfuasi wako.Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali namba.
Unaomba namba, unapewa alafu baadae unapotezea. Kuna maana gani ya kuomba sasa?
Ana mchumba, kwani nawe ulitaka kuwa mchumba wake? Kwani Mwenye mchumba haliwi? Kwani hataachana naye? Kwani huyo mchumba hafi? Kwani yeye hachepuki?
Single mama, kwani alikuambia umhudumie mwanae? Kwani single mama haihitaji huduma?
Cha msingi, tambua lengo la kuomba namba ya hao warembo. Na pengine, nakushauri uwaulize maswali kadhaa kabla ya kuomba namba. Kama kuna kitu hukitaki, basi usiombe namba.
Hayo ni MATUMIZI MABAYA ya namba.
Majukumu mema.
Chukua 5!Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali namba.
Unaomba namba, unapewa alafu baadae unapotezea. Kuna maana gani ya kuomba sasa?
Ana mchumba, kwani nawe ulitaka kuwa mchumba wake? Kwani Mwenye mchumba haliwi? Kwani hataachana naye? Kwani huyo mchumba hafi? Kwani yeye hachepuki?
Single mama, kwani alikuambia umhudumie mwanae? Kwani single mama haihitaji huduma?
Cha msingi, tambua lengo la kuomba namba ya hao warembo. Na pengine, nakushauri uwaulize maswali kadhaa kabla ya kuomba namba. Kama kuna kitu hukitaki, basi usiombe namba.
Hayo ni MATUMIZI MABAYA ya namba.
Majukumu mema.
Tulia dogo nimesharudiana naye tulee mwanetumwingine tumekutana kwenye gari ni radio presenter, mzuri sana na muelewa, tukapeana namba, kumcheki whatsapp ni single mother, nikaishia hapo, ila alikuwa mcute sana. Nipe namba za huyu!
Nakupa cheo wewe jamaa namshusha alikuwa mwanajeshi hivi Sasa ni mgambo.wewe nakupandisha big upHayo ni matumizi mabaya ya rasilimali namba.
Unaomba namba, unapewa alafu baadae unapotezea. Kuna maana gani ya kuomba sasa?
Ana mchumba, kwani nawe ulitaka kuwa mchumba wake? Kwani Mwenye mchumba haliwi? Kwani hataachana naye? Kwani huyo mchumba hafi? Kwani yeye hachepuki?
Single mama, kwani alikuambia umhudumie mwanae? Kwani single mama haihitaji huduma?
Cha msingi, tambua lengo la kuomba namba ya hao warembo. Na pengine, nakushauri uwaulize maswali kadhaa kabla ya kuomba namba. Kama kuna kitu hukitaki, basi usiombe namba.
Hayo ni MATUMIZI MABAYA ya namba.
Majukumu mema.
AiseeEnzi zile za kukata ticket before- Namhonga mkatisha ticket buku mbili anipange siti moja na mrembo.
Siku moja nimekaa na mwanaume mwenzangu siti ya mbele kushoto amekaa jamaa na mrembo ila hatumii fursa. Tulivyoshuka eneo la kupata msosi- kurudi nikajitoa akili nikachukua kiti cha msela.πππ.
kwa hiyo kuuliza ni ushamba?Acha ushamba mkuuu watu kila siku tunasafiri.kwa week Mara tatu tunatoka nje ya mkoa.muda huu nipo safarini na pembeni amekaa mrembo amevaa miwani mzuri balaa ila Hana smartphone masikini.anachati na kidogoli
wakuu huwa nasafiri mara kwa mara. Sasa huwa inatokea nakutana na wanawake wazuri sana. Kibaya safarini huwa najisemea kwamba huyu nisipomsemesha au kuomba namba ntajuta maisha yangu yote.
Kuna huyu mmoja nilikuwa nasafiri safari ndogo tu ndani ya mkoa. tulikaa siti moja, nikasema nisipoongea naye ntajuta. Basi nikaongea naye na akanipa na namba yake. Kalikuwa kazuri sana. Basi katika kuwasiliana wasiliana nikajatokea nawasiliana na mchumba wake na yeye alikuwa hasemi kama ana mchumba. Tukaishia hapo.
mwingine tumekutana kwenye gari ni radio presenter, mzuri sana na muelewa, tukapeana namba, kumcheki whatsapp ni single mother, nikaishia hapo, ila alikuwa mcute sana.
Basi kuna wengine sikubahatika kupata hata mawasiliano yao, huwa najipa moyo pengine wangeishia kama wenye wachumba au masingle mother. Ila kuna mmoja huwa ananiuma sana sikuomba hata namba. Hivi kuna watu humu wamepata wake/michepuko au waume safarini? wameridhika?