Kukumbushia kumenicost!!!

Kijana wenu anawaomba ushauri nyie mmejikita kwenye umri


Onyesheni huo ukongwe sasa kwa kumpa ushauri wa busara maana kuishi kwingi kuona mengi.
Busara ni kwamba asubiri mme wa huyo dada arudi kisha akajisalimishe kwa kueleza ukweli wake wote jamaa anaweza kumwelewa,
Ikishindikana basi aende sokoni anunue kamba akajinyonge.
 
Haya ndio matatizo ya kuoa vitoto visivyoelewa maana ya maisha.
 
Ushauri wako ni Wa mwendo kasi
 
Aisee mdogo wng hii issue yako ngumu kdogo
Huyo bint ana ndoa na huyo jamaa ake... Kama hawana ndoa aanza mchakato mapema umuwah... Kama wanandoa kajisalimishe polis tu maana vita kuu ya tatu ya dunia inakuja
 

ah wewe unaumiza kichwa bure tuu sii ulishagegeda, miba anabeba mwanamke wewe presha ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…