chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,824
Kuna m soldier mmoja rafiki yangu aliwahi,kuniambia siku moja tukiwa tunakula moja Moto,moja baridi ya kuwa , boredom is more dangerous than bullets in battle field. Nikamjibu aise acha masihara ,huwezi kulinganisha kuwa boadi na battle msituni!!
Jamaa akacheka ,akasema hujui kuwa battle ni tamu Sana ,kuliko kukaa bila Jambo la kufanya.akaongezea kuwa Vita ni arts Kama arts zingine ,na inautamu wake hasa ukiwa kwenye battle,ile kulengana shabaha na milio ya bullets ni mchezo mtamu Sana kwa soldier's yeyote Yule,Ila akasema kwa Sasa sayansi imeifanya art hii ya Vita imekosa au imepungua Radha yake halisi tofauti na zamani .
Ni kama namuelewa huyu m soldier .
Sent using Jamii Forums mobile app