Kuku wanaambukiza

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Kulikuwa na watoto wawili mapacha wa kike na wakiume,walikuwa kila siku wao ni kula kuku na chipsi,yule wa kike akakuwa mapema akota vivuzi badala ya kuagiza kuku chipsi akaagiza chipsi mayai mdogo wake akamuuliza mbona leo chipsi mayai akajibu kuku wameniambukiza, akamuuliza wamekuambukiza nn dada mtu akajibu manyoya, akamvulia chupi ili aone. basi wakaendelea kwa mda mpaka yule wa kiume naye kakuwa na yy akaagiza chipsi mayai, dada mtu akamuuliza na wewe wamekuambukiza mdogo mtu akamjibu yah wameniambukiza,dada mtu akataka aone, akavuwa chupi dada mtu kwa mshangao DUU WAMEKUAMBUKIZA VIBAYA MPAKA SHINGO NA FIRIGISI
 
Inaendana na true story, haiko mbali sana, kuku wenyewe broiller.
 
umenifurahisha, lkn si wtt wa zama hizi mkuu....!!
 
Sipati picha kaka kuonesha dada ake vuzi, hii ni so na noma kilo kumi
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimetabasam mbaya sana leo
thank u
 
Hii sasa noma, dogo ananishangaa ninavyocheka...
 

Dah hiii noma bana!!!
 
hahhaahahahahha, nimecheka kwa nguvu mpaka nimewashtua ofisini. we ni mkariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
umenichekesha sana na hv nipo peke yangu nimeangua kicheko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…