Kuku wa nyama wanapatikana

Kuku wa nyama wanapatikana

gsmsolution2009

Senior Member
Joined
May 7, 2013
Posts
120
Reaction score
7
kuku wa kizungu wa nyama wanapatikana tazara bei ni tsh 6000 bei inaweza kupungua kutegemea na uwingi wa kuku utakaohitaji kwa sasa tuna uwezo wa kuzalisha kuku 300 kwa wiki kwa kuwa ndio tumeanza ila idadi inaweza kuongezeka kutegemea na order tutavyopata kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0719 225 621
 
na vile vile kama mnaweza kunitafutia wateja nitashukuru sana kwa sababu ndio naanza biashara
 
Kuku wako wana uzito gani wakishachinjwa?? (carcas weight) kama inafika kg 1.5 au zaidi nitafute kwa namba 0785168001 ikiwa tu KAMA WANA HUO UZITO NINAOTAKA ila kama hawafiki usihangaike kunitafuta.
 
Back
Top Bottom