Kuku wa Mayan

Kuku wa Mayan

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
249
Ndugu zangu, Za leo, nilikuwa naomba kujua nahitaji kiasi gani kwa gharama Za Sasa nikiwa tayari na Banda langu la kufugia kuku 500 Wa Mayai!
Natanguliza shukurani
 
Ndugu zangu, Za leo, nilikuwa naomba kujua nahitaji kiasi gani kwa gharama Za Sasa nikiwa tayari na Banda langu la kufugia kuku 500 Wa Mayai!
Natanguliza shukurani
Kwa kuku 500, isipungue Tsh 2,350,000
kuku 500*2,700= 1,350,000
Chakula na dawa =1,000,000
 
Back
Top Bottom