Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,276
- 2,981
Habari wana JF natumai nyote mko poa na mambo yanaendelea kama kawaida...
Naitaji kuku wa 500 wa mayai walio maliza kutaga ambao wanauzwa kwa ajili ya kitoweo, kama kuna mfugaji alieko ndani ya DARESSALAAM tuchekiane inbox tufanye biashara.
NATANGULIZA SHUKRAN.