"Kuku wa Kizungu"

"Kuku wa Kizungu"

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Kuku wa kizungu hakimbizwi ili kuchinjwa, ni kumchukua na kumchinja tu, hakuna kutumia nguvu nyingi...!!
Kwa mida hii (2:50am) kuku ni wengi hapa, ni kuchuka na kuchinja, hakuna kukimbiza!!
 
1423377030884.jpg
 
Wapi wanapatikanana -----

Mkuu umechelewa wameisha, tusubir leo tena!! Si mchezo, tatizo nyama ni laini sana, halafu fasta unaimaliza
 
Lakini kasoro ni kuwa hawana ladha kama kuku wa kienyeji....ingawa wana matunzo duni..........
 
Sure, matunze mengi mazuuuri, ladha mbaya
 
Ladha ya kuku umle wa kienyeji tena wale wanaotoka uswekeni kule!
 
Back
Top Bottom