Kuku wa kienyeji

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Mambo vipi wadau, naitwa Snitch2020
Nafanya biashara ya kuuza kuku wa kienyeji na bei zake ni kuanzia 13000. kuku ni wakubwa na wazuri. Nawatoa Iringa,Dodoma na Singida.
kuku nauza kwa order kuanzia Kuku 30 na kama utahitaji zaidi tutaongea. Kumbuka unatoa Order nakuletea. sina kuku nyumbani kwangu hivyo huwa nakwenda Kuwafuata mara 2 kwa wiki. karibuni sana PM hata hapo kwa comments kwa maelezo zaidi. Tangazo hili linawahusu watu wa Morogoro na Dar es salaam tu
Wako katika Ujenzi wa Taifa la viwanda Snitch2020
 
weka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…