Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,070
Hapa kitaan kwangu kulika na kijikuku kisumbufu sana (kwa sasa kinawikia kwenye sufuria)
Kilikua kinanitesa sana, usiweke kitu ukajisahau kidogo tu basi ujue kasepa nacho.
Bahati mbaya ni kakuku ka jirani yangu, nilimwambia mwenyewe akawa awafungie kuku wake ila haelewi,
Sasa leo nimekapa bonge la kitanzi, kameingia nyavuni, kapo jikon nakavutia mida tu nikashushie na ugali.
Nafidia hasara ambayo kalisababisha.
Asante jiran kw Kutufugia ..
#mutual_relationship