Kama unahitaji chotara unaweza kucrossbrid mwenyewe. Kwa mfano kuku wa mayai ya kisasa akipata jogoo ataweza kutaga mayai ambayo utawawekea kuku wa kienyeji nao watayaangua au ukayaangua na mashine. Au kaulizie Ruvu JKT wana uzoefu sana na wanauza vifaranga. Au nenda Farmer's Center Ilala Amana utawaona na watakuambia wapi utapata vifaranga. Wao pia nadhani wanaweza kuwa navyo.