Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,699 Apr 23, 2013 #1 Wapendwa wana bodi, heshima kubwa sana kwenu, nimeweka hili tangazo hapa, naamini wale wanaohitaji hii kitu tatizo lao limetatulika. karibuni sana. KUKU MBEGU BORA Vifaranga kuku wa kienyeji wanauzwa Kwa maelezo zaidi piga namba0713475573/0683475573
Wapendwa wana bodi, heshima kubwa sana kwenu, nimeweka hili tangazo hapa, naamini wale wanaohitaji hii kitu tatizo lao limetatulika. karibuni sana. KUKU MBEGU BORA Vifaranga kuku wa kienyeji wanauzwa Kwa maelezo zaidi piga namba0713475573/0683475573
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 Apr 23, 2013 #2 Mdau umetaja ni aina gani na sifa zake pia (ukuaji, utagaji, uimili wa magonjwa etc), kusema tu 'kuku mbegu bora' naona kama haitoshi
Mdau umetaja ni aina gani na sifa zake pia (ukuaji, utagaji, uimili wa magonjwa etc), kusema tu 'kuku mbegu bora' naona kama haitoshi
Tarakilishi JF-Expert Member Joined May 19, 2013 Posts 2,180 Reaction score 2,454 Jun 21, 2013 #3 Mamdenyi tangazo lako ni dhaifu kibiashara