kuku machotara

kuku machotara

young prof

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
37
Reaction score
11
Kuna mtu anahitaji kuanza hii biashara wakuu,anahitaji kuku wa kienyeji machotara wanaokaribia kuanza kutaga kama 40 hvi,mwenye nao au kujua wanapopatikana msaada tafadhali

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
ninao machotara nitafute
 
Sasa hapo nakutafuta vipi boss

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Jaribu Kilacha, Himo - Kilimanjaro wanauza kuku wa uhakika.
 
niko arusha nina machotara mbegu nzuri nakubwa hutaga mpk mayai 45 kabla ya kutamia +255757662401

Hapa ss tutatafutana,mm nipo dar lakin ss sijui itakuwaje

Back
Top Bottom